Friday 30 September 2016

IT vs Journalism

Kabla ya mechi marefarii wetu lazima wdumishe amani ya mchezo wa mpira na ukaguzu mzuri kwa wachezaji . kushoto walio vaa jezi ya rangi nyekundu ni timu ya IT  na walio vaa jezi nyeupe ni timu ya Journalism


Nimapunziko baada ya kipindi cha kwanza wachezaji wakibadilishana mawazo na kuongeza mbinu mpya dhidi ya wapinzani wao



baada ya ushindi dhidi ya Journalism

Majukumu ya refarii