Sunday, 26 April 2015
THE GREATEST COMEBACK OF ALL TIME AT IRINGA UNIVERSITY FOOTBALL HISTORY IT 4-BACD 3
kikosi cha IT (Information technology team heroes) pamoja na viongozi mbalimbali
Leo kakita uwanja wa kigonzile kulikuwa na mchezo wa inter faculty kati ya IT na BACD mchezo wa kundi B,matokeo yalikuwa goli 4 kwa IT dhidi ya 3 za BACD
katika mchezo huo uliochezwa majira ya asubuhi ulishuhudia BACD wakiongoza kwa magoli ya mawili ya kuongoza lakini IT walifaniiwa kupata goli kabla ya kipindi cha kwanza kumalizika na first half ikaisha BACD 2 IT 1
kipindi cha pili BACD walianza vizuri kwa kuongeza goli la tatu,magoli hayo yaliamsha ari kubwa kwa vijana wa IT waliopambana na kurejesha goli zote tatu matokeo yakawa tatu kwa tatu.
Dakika 8 kabla ya mchezo kumalizika IT walipata gholi la nne na kuamsha shamrashamra kwa mashabiki wao.baada ya refa kupuliza kipenga matokeo IT 4 BACD 3.
KWA MATOKEO HAYO MSIMO WA KUNDI
TIMU POINTS
1.IT 4
2.LAW 4
3.BACD 3
4.BED ART 0
Vijana wakipasha misuli moto kabla yakukutana na BACD
kikosi cha IT kilichoitekeketeza BACD 4-3 leo asubuhi ya tarehe 26/4/2015
mshambuliaji machachari wa IT (devi)
Brayan katika dhoruba kali ya BACD
kipa wa IT
Benchi la ufundi wakishauriana jambo
OUR MOTTO = IT MDOGOMDOGO MPAKA FAINALI