Saturday, 29 October 2016

KIHESA SECONDARYSCHOOL TRAINING

It club members start to conduct training project at Kihesa secondary school  for teachers who are interested to learn computer  basics and it is free of charge, It is part of volunteer from it club members to help different people who are interested to learn computer. The service is available from FRIDAY ,  time 1:00 pm to 3:00 pm venue Kihesa secondary school teacher’s office, to SATURDAY, time 10:00 am 12:30 pm.





IT club member (Ben .) at Kihesa secondary school



IT club member (Frank) during training 

Kihesa secondary teachers in training 



IT club members with Kihesa secondary  school teachers during practical trainging 



TUMAINI PRIMARY SCHOOL TRAINING


It club members start to conduct training project at Tumaini Primary school  for teachers who are interested to learn computer  basics and it is free of charge, It is part of volunteer from it club members to help different people who are interested to learn computer. The service is available from FRIDAY to  time 2:00 pm to 4:00 pm venue Tumaini primary school teacher’s office. SATURDAY, time 10:00 am 12:30 pm.
IT club member (Gabriel Malecela) with Tumaini primary school teachers


IT club member (Gabriel Mmbaga) with Tumaini primary school teachers




IT club member (Gabriel Malecela) with Tumaini primary school teachers

IT club member (Said) during training at 


Friday, 30 September 2016

IT day




Wanafunzi wa IT katika project ya multimediawakiwa teyarii kuwaonyesha walimu na wanafunzi wengine project zao walizo zifanya kwa upande wa Multimedia

................................................................................



Wanafunzi wa IT kwenye upande wa HARDWARE wakitatua matatizo ya computer na simu za wanafunzi na walimu wa chuo kikuu cha iringa katika siku ya IT DAY

..............................................................................................




Upande wa programming wakionyesha project zao walizo ziandaa


IT vs Journalism

Kabla ya mechi marefarii wetu lazima wdumishe amani ya mchezo wa mpira na ukaguzu mzuri kwa wachezaji . kushoto walio vaa jezi ya rangi nyekundu ni timu ya IT  na walio vaa jezi nyeupe ni timu ya Journalism


Nimapunziko baada ya kipindi cha kwanza wachezaji wakibadilishana mawazo na kuongeza mbinu mpya dhidi ya wapinzani wao



baada ya ushindi dhidi ya Journalism

Majukumu ya refarii 

First 11 ....!!!


Kikosi cha timu ya IT wakiwa na kocha wao 


Hakika muonekano mzuri ni mwanzo wa ushindi hakika wanapendeza kwanini wakose kushinda .!Bhasi kama ulivyo msemo bhasi na vijana hawa wa kikosi cha kwanza katika timu ya IT hawa utendei vibaya msemo huo .

Upande wa mashambuliziii......!!!!



Wachezaji hatari katika upande wa ushambulizi katika kikosi cha IT kwenye ligi ya mwaka 2015/2016 kushoto ni kiungo msambazaji (Bly), katikati ni namba kumi 9Pizzo) kulia ni mmaliziaji wa mipira ya misho yaani namba tisa (David), 





Hawa ni wachezaji wa IT wakiwa katika mazoezi yakujiandaa na mechi katika ligi ya chuo kikuu cha iringa ilio andaliwa na serikari ya wanafunzi wa chuo kikuu cha  Iringa

Sunday, 18 September 2016
Habari wana IT wenzangu Uongozi wa IT clab unawakumbusha kwa wanafunzi wote wa IT katika chuo kikuu cha Iringa , kuwa tufunguapo chuo kila mwanafunzi wa IT atatakiwa ajisajiri katika It club kama ilivyo sema katika kikao cha mwisho na walimu wetu wa IT.Asanteni

By
       Dullah Nabbir
      Blog   Admin