Friday, 30 September 2016
IT day
Wanafunzi wa IT katika project ya multimediawakiwa teyarii kuwaonyesha walimu na wanafunzi wengine project zao walizo zifanya kwa upande wa Multimedia
................................................................................
Wanafunzi wa IT kwenye upande wa HARDWARE wakitatua matatizo ya computer na simu za wanafunzi na walimu wa chuo kikuu cha iringa katika siku ya IT DAY
..............................................................................................
Upande wa programming wakionyesha project zao walizo ziandaa