Sunday, 18 September 2016
Habari wana IT wenzangu Uongozi wa IT clab unawakumbusha kwa wanafunzi wote wa IT katika chuo kikuu cha Iringa , kuwa tufunguapo chuo kila mwanafunzi wa IT atatakiwa ajisajiri katika It club kama ilivyo sema katika kikao cha mwisho na walimu wetu wa IT.Asanteni
By
Dullah Nabbir
Blog Admin