Friday, 30 September 2016
IT vs Journalism
Kabla ya mechi marefarii wetu lazima wdumishe amani ya mchezo wa mpira na ukaguzu mzuri kwa wachezaji . kushoto walio vaa jezi ya rangi nyekundu ni timu ya IT na walio vaa jezi nyeupe ni timu ya Journalism
Nimapunziko baada ya kipindi cha kwanza wachezaji wakibadilishana mawazo na kuongeza mbinu mpya dhidi ya wapinzani wao
baada ya ushindi dhidi ya Journalism
Majukumu ya refarii